
Wimbo mpya wa Dayna Nyange I do, umetokea kuwateka watu wengi wa kada tofauti. Ivi karibuni watangazaji wa East Africa Radio Sam Misago na Mami walionekana kudata na wimbo huo mpaka wakaamua kuimb ana kucheza live studio.
TAZAMA HAPO CHINI UJIONEE TUKIO ZIMA
0 MAONI YAKO:
Post a Comment