Basi la Hood lililopata ajali asubuhi ya leo eneo la Kikatiti, Arusha.
Raia wakishuhudia ajali ya basi la Hood ilivyotokea.
Basi la Hood lililokuwa likitoka Arusha kwenda Iringa llimepata ajali asubuhi ya leo eneo la Kikatiti, Arusha. Basi hilo lilitaka kugongana uso kwa uso na lori la mizigo, ndipo katika kukwepana ikatokea ajali hiyo. Abiria wa basi wamenusurika , ila lori lilidumbukia darajani na hakukuwa na mtu aliyepoteza maisha.
chanzo
kingine kinadai kuwa basi la Isamilo lililokuwa linatokea Moshi kwenda
Mwanza lilikuwa linaovateki lori la mizigo na hivo kukutana uso kwa uso
na basi la hood lililokuwa linatokea Arusha kwenda Iringa, ndipo dereva
wa basi la HOOD alipokwepa kugongana uso kwa uso na basi hilo na kuamua
kulipeleka pembeni mwa barabara na kagonga mtaro wa maji kama
unavosguhudia hapo juu pichani
0 MAONI YAKO:
Post a Comment