STAA
wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amemtupia vijembe
mpenzi wake Wema Sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagram usiku huu
akionekana kuchukizwa na tabia ya staa huyo kupenda maisha
ya starehe
zisizo na faida.
Katika
ujumbe huo, Diamond ameandika kuwa angewaona mashabiki wa mrembo huyo
wana akili na mapenzi ya dhati kama wangemshauri apunguze mashoga
wapenda anasa na kuacha starehe zisizo na faida na kutumia fedha kufanya
mambo ya maendeleo kuliko kuvifaidisha viwanda vya kutengeneza pombe
Source:http:CLOUDS MEDIA
0 MAONI YAKO:
Post a Comment