Rais Kikwete aongoza mazishi ya Chifu Kingalui 14
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole na pia kumpongeza
Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa
15 baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro jana Alhamis…Read More
Diamond avunja rekodi Trace TV
Kwenye Top 10 ya muziki mkali wa Afrika ambayo hufanyika kila
Alhamisi kwenye kituo cha TV cha Ufaransa ambacho kina mamilioni ya
Watazamaji Afrika (TRACE TV Urban) July 2, 2015 single ya ‘Nana’ Diamond
ft Mr Flavour …Read More
Kikwete ashuhudia kusimikwa kwa Kingalu mwana Banzi wa 15
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia kusimikwa kwa Kiongozi
mpya wa kabila la Waluguru Chifu Kingalu wa 15 katika kijijini Kinole
mkoani Morogoro Alhamisi Julai 2, 2015 kufuatia kifo cha Chifu Kingalu
wa…Read More
Interview ya Millarda Ayo na Sporah hii hapa
Kama hukupata wasaa wa kutazama interview ya mtangazaji wa Clouds FM Millarda Ayo akiwa na Sporah Njau ndani ya Sporah Show ya Clouds TV, basi unaweza kupata wasaa wakuitazama interview nzima kwa kubon…Read More
Dayna Nyange aomba jamii
Dayna Nyange akiwa na Ney wa Mitego
Mwanadada anayekuja kwa kasi katika muziki wa bongo, Dayna Nyange,
ameiomba jamii isimfikirie vibaya kuhusu wimbo wake wa Nitulize.
Kauli ya msanii huyo imekuja baad…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment