Uhamisho wa Balotelli kwenda Liverpool umeigharimu klabu hiyo ya Merseysed kiasi cha £16m.
Balotelli ambaye amerudi England baada ya kukosekana msimu uliopita baada ya kuondoka Man City, amesaini mkataba wa miaka 3 wa kuitumikia Liverpool.
Mshambuliaji huyo wa kiitaliano amechagua namba ya jezi (45) ambayo alianza kuivaa tangu alipokuwa Inter, Man City, AC Milan na sasa Liverpool.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment