Mh: Lowasa MB.
Leo kama umezaliwa siku kama leo, basi umebahatika kuzaliwa na Waziri mkuu mstaafu, tumaini la wengi MB.Mh: Edward Ngoyai Lowasa
Lowasa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli anayetokea katika familia ya wafugaji amezaliwa tarehe 26 /08/ 1953. Mpaka kufikia leo ametimiza umri wa miaka 61
MACHAKU BLOG wadau wa ubalozini tunaungana na Famili hii katika kushherehekea siku hii muhimu kwa Mh.
Mungu ampe maisha marefu kheri baraka na ampe wepesi na mafanikio katika harakati zake.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment