Daktari aweka kamera za siri Chooni
Daktari mmoja aamua kufanya kile
ambacho hakikutegemewa na wengi, kwa kupachika kamera kwa siri katika
vyoo vilivyoko katika hospitali anayofanyia kazi na kufanikiwa kuwa
chungulia wagonjwa wapatao 100 walipokuwa wakijisaidia na idadi hiyo ni
watu wazima na watoto.
Dokta Lam Hoe Yeoh almaarufu Robin mwenye umri
wa miaka 61 anayetokea BansteadSurrey,anatuhumiwa kwa makosa 30 yakiwemo
makosa mawili ya kuchungulia watoto na kuwarekodi,na makubwa Zaidi ni
yanayo karibia kua ya kingono.
Daktari aweka kamera za siri Chooni na kuwatizama zaidi ya watu 100
0 MAONI YAKO:
Post a Comment