Albert Reynolds enzi za uhai wake.
ALIYEWAHI kuwa Waziri Mkuu wa Ireland kwa miaka mitatu, Albert
Reynolds amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81. Kiongozi huyo
aliyewahi kuongoza Chama cha Fianna Fáil na kushinda Tuzo ya Amani ya
Nobel pia aliwahi kuwa Waziri wa Fedha (1988–91), Waziri wa Viwanda na
Biashara (1987–88), Waziri wa Viwanda na Nishati (1982), Waziri wa
Usafirishaji (1980–81) na Waziri wa Posta na Simu (1979–81).August 21, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment