Huu
utakua mkoa wa 4 kwenye list ya miji 18 ambayo watapata nafasi ya
kuonja utamu wa Serengeti Fiesta 2014,ilianzia Mwanza ikafuata Bukoba
ikasogea hadi Kahama na sasa ni zamu yao Tanga. Tanga itakua ni Jumamosi hii August 23 kwenye viwanja vya
Mkwakwani,hizi ni shamra shamra za Serengeti Fiesta ambapo Clouds Fm iko
live kutokea hapo wakiongozwa na Adam Mchomvu,Gea Habib na Bonge.
AFANDE SELE AMFUNGUKIA 20%
Salaam Ndugu zangu wote mashabiki na wadau wa muziki wetu!!
Tamko langu kuhusiana na lugha zilizotolewa na Twent Percent kuhusiana na show yetu ya Zanzibar Music Award.
"Tulialikwa kwenye ZANZIBAR MUSIC AWARD, na kabl…Read More
Blog Zinazoanzia na Herufi ya W
-
*1. Wamtaani*
www.wamtaani.com
*2. Wanabidii Blog*
wanabidiiblog.blogspot.com
*3. Watanzania Waishio Nje ya Nchi*
watanzaniaughaibuni.blog...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment