November 20, 2014


 
Ni stori nyingi tunakutana nazo kwenye vyombo vya habari kila tunapoamka na mara nyingi tunaamka nazo kwenye mitandao ya kijamii moja wapo ikiwa hii ya mwimbaji wa Uganda Jose Chameleone kudaiwa kumuomba Diamond wafanye collabo. Kwenye interview na Mambo Mseto ya Radio Citizen November 19 2014 Chameleone amekanusha hizo taarifa kwa kusema ‘kitu ambacho nitakwambia kabla ya kusema chochote, mimi naheshimu wasanii wote mashariki na duniani na nataka niwakumbushe kitu kingine, nimekaa kwenye muziki kwa miaka kumi na nne… mimi sio msanii mchanga’ 

‘Ilikua ni uongo sijui umetokea wapi eti mimi nimemuomba collabo, Yes…. tunaweza kufanya collabo lakini mimi sijamuomba collabo, wamesema mimi nimezungumza na Diamond kwenye whatsapp… yes tumezungumza lakini ilikua ni kirafiki wala hatujaongea maneno ya kimuziki’ – Jose 

‘Mimi ni msanii mkubwa, sio msanii mchanga… naheshimu kila msanii kuanzia mchanga mpaka mkubwa na vilevile mimi pia ni msanii mkubwa na siwezi kuomba collabo kama hivyo, nimeshangazwa sana’

MSIKILIZE HAPA

Related Posts:

  • Mwizi wa simu anaswa kwa kutumia App   Mshukiwa wa wizi ambaye inaaminika alikuwa ameiba zaidi ya simu 100 aina ya iPhones amekamatwa nchini Marekani. Mwizi huyo alikamatwa baada ya watu waliokuwa wameibiwa simu zao kutumia programu tumishi ya Find My … Read More
  • Tweet ya Prof. J kuhusu Millard Ayo hii hapa   Mbunge wa Mikumi kwa tiketi ya CHADEMA Joseph Haule Prof, J, amempongeza mtangazaji wa Clouds Media Millard Ayo kwa kutoa habari zake na kupaza sauti za wanyonge.  Prof J ametweet leo hii  Joseph L.… Read More
  • NMB Bank yazindua kituo cha biashara Kahama       Benki ya NMB Tanzania imezindua rasmi kituo cha biashara mjini Kahama (Kahama Business Centre) ambacho kitakuwa kikitoa huduma kwa wananchi wa kanda ya ziwa ikijumuisha mikoa mitatu ya Shinyanga, … Read More
  • Diamond anakukaribisha katika uzinduzi wa Perfume yake    Lile tukio kubwa lililokuwa likisubiliwa kwa hamu kubwa sana juu ya mwanamuziki Diamond kuzindua Perfume yake litafanyika kesho . zaidi soma hapa alichokiandika Diamond   Tomorrow will be officially l… Read More
  • New Video: P-Square - Nobody   Kutoka nchini Nigeria P-Square wametuletea video mpya kabisa inaitwa, Nobody. Video ipo hapa chini waweza kuitazama na kudownload sasa kupitia Youtube.          &nbs… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE