Mtu wa mwingine apatikana na Ebola
Maafisa wakuu wa idara ya Afya nchini Liberia wamethibitisha kutokea kwa kisa cha pili cha mgonjwa wa Ebola.
Taarifa
hiyo ni pigo kwa kampeini ya taifa hilo la Magharibi mwa Afrika
kutokomeza kabisa ugonjwa huo …Read More
Baadhi ya wachezaji wa EPL wanatumia madawa haramu
Serikali ya Uingereza imeanzisha
uchunguzi wa dharura kufuatia ufichuzi kuwa wachezaji nyota wa kandanda
nchini Uingereza wamekuwa wakitumia madawa yaliyopigwa marufuku ya
kuongeza nguvu mwilini.
Gazeti la Sunday…Read More
Uwanja wa ndege wa Brussels umefunguliwa
Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Brussels umefunguliwa.
Uwanja huo ulikuwa umefungwa tangu shambulizi la bomu siku 12 zilizopita kusababisha vifo vya watu 16.
Ndege zimeanza kuruka tena.
Mkurugenzi
mkuu wa …Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment