
katikati ni kaimu mkuu wa wilaya ya nanyumbu kristopher maga
watanzania wengi na kila kona nchini, jana imezindua tawi jipya la
wilaya mpya ya Nanyumbu katika mkoa wa Mtwara.
Kwa sasa NMB imefikisha matawi Zaidi ya 150 na wateja Zaidi ya milioni
2 huku ikijivunia ATM mashine Zaidi ya 500 nchi nzima. Hiyo ni idadi
kubwa kuliko benki yoyote Tanzania.
Ufunguzi wa tawi hili ni Faraja kubwa kwa wakazi wa Nanyumbu ambao
wamekuwa wakipata tabu kufuata huduma za kibenki wilayani Masasi.
Uwepo wa NMB pia utarahisisha biashara kwa wakazi wa Nanyumbu kwani
wengi wao wanafanya biashara na wananchi wa Msumbiji. Ubadirishaji wa
fedha za kigeni pia ni mojawapo ya huduma itakayosaidia wakazi wa
Nanyumbu nan chi ya Msumbiji.

Kaimu mkuu wa wilaya ya Nanyumbu

Meneja wa nmb kanda akitoa maelezo mafupi wakati wa uzinduzi

Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya masasi akitoa ushuhuda

Mmoja kati ya wafanyabiashara wa wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara
mkubwa katika soko la Tanzania ikiwa ni pamoja na huduma za benki kwa
njia ya simu yaani NMB mobile , Pesa Fasta na malipo kwa kutumia
mashine za ATM. NMB inaendelea kujikita katika kutoa huduma kwa
makampuni makubwa, masoko ya kifedha pamoja na huduma za kusaidia
makusanyo ya kifedha na biashara. Lakini Pia imekuwa mstari wa mbele
katika maendeleo ya kilimo na imeanzisha mfumo wa stakabadhi ghalani
kupitia vyama vya ushirika nchini
0 MAONI YAKO:
Post a Comment