Mwigizaji wa filamu za James Bond afariki dunia
Mwigizaji Clifton James, aliyeigiza kama Liwali JW Pepper kwenye filamu mbili za James Bond, amefariki dunia akiwa na miaka 96.
Alifariki karibu na mji wake aliokulia wa Gladstone, Oregon, siku ya Jumamosi k…Read More
Huyu ndiye muuaji anayesakwa Marekani
Polisi katika jimbo la Ohio nchini
Marekani wanamtafuta mtu anayedaiwa kufanya mauaji,huku akionyesha moja
kwa moja mauaji hayo kupitia mtandao wa Facebook.
Maofisa katika
mji wa Cleveland wamesema kuwa Steve …Read More
Anna Mghwira -Tanzania haina uchaguzi wa demokrasia
Aliyekuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia chama cha siasa ACT –
Wazalendo, Anna Mghwira amedai Tanzania bado haina uchaguzi wa
demokrasia huku akiweka wazi mpango wake wa kugombea ubunge katika
uchaguzi…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment