Afande Sele, Prof J, kareem Omary na wakazi wengione wa Mjini hapo.Prof amemshika mtoto mdogho wa Mfalme Sele Ahsantesanaa
Mmaia ya wakazi wa mjini Morogoro leo, wameungana na mfalme wa Rhymes Tanzania Afande Sele katika mazishi ya mzazi mwenzie mama Tunda aliyefariki usiku wa jana.
Katika mazishi hayo yaliyofanyika majira ya saa tisa alasiri Mwanamuziki Professor Jaya aliungana pia na swahiba wake wa miaka mingi katika kipindi hiki kigumu.
Pia viongozi mbalimbali kama Diwani wa Mji mpya, wens, mwenyekiti wa Chama cha Cuf Abed Mlapa kolo, wasaniki mbalimbali mkoani hapa waliungana na mwenzao kuweza kuusitili mwili wa marehemu.
Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi Amin
0 MAONI YAKO:
Post a Comment