August 05, 2014


 
Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Profesa Jay wa Mitulinga, kama unakumbuka vizuri tarehe 21 mwezi wa tano mwaka jana 2013 alikabidhiwa rasmi kadi ya uanachama wa chama siasa cha CHADEMA na aliyemkabidhi kadi hiyo ni mbunge ambaye pia ni msanii wa Hip Hop Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu.
  
Baada ya hapo hisia za Watanzania zilisafiri mpaka mjini Songea na kutoa jibu kwamba mwaka 2015 msanii huyo atagombea ubunge katika moja kati ya majimbo ya mkoani Ruvuma. Clouds fm imepiga stori na Profesa Jay huyu hapa anafunguka kuhusiana na ishu hiyo.
MSIKILIZE HAPA

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE