
Show hiyo inafanyika kwenye ukumbi wa Newseum mjini DC. Hiyo juu ndio stage ambayo AY na wenzake watatumbuiza “Jana (juzi) ilikuwa ni tour ya kwenda white house na nini, kuelezewa mambo ya mule ndani na baadaye usiku tukafanya rehearsal mpaka usiku wa manane,”
AY aliiambia Bongo5 jana. “Leo (jana) sasa ndo kila kitu, watu tunakutana kwaajili ya kujadili na baada ya hapo tutafanya show leo usiku. Chochote kitakachojadiliwa nitawajuza. Kesho pia ni kuna mkutano mwingine, pia viongozi mbalimbali marais wako hapa wanawasili na mwenyeji mkuu yuko hapa, kesho pia kutakuwa kuna dinner white house,” alisema.
Source bongo 5
0 MAONI YAKO:
Post a Comment