September 08, 2014

 
Basi la Kampuni ya Air Bus likiwa limeharibika vibaya baada ya ajali.
 
Raia wakijaribu kuokoa maisha ya abiria waliopata ajali.
 
Miili ya abiria waliopoteza maisha kwenye ajali…
 

 


 

 
Basi la Kampuni ya Air Bus likiwa limeharibika vibaya baada ya ajali.
 
Raia wakijaribu kuokoa maisha ya abiria waliopata ajali.
 
Miili ya abiria waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo.
asi la abiria la Air Bus kutoka Tabora kwenda Dar limepata ajali mbaya katika Kijiji cha Kiegeya wilayani Gairo na taarifa zinasema karibu watu 48 wamekufa papo hapo.
Inaelezwa kwamba eneo hilo limetandwa na vilio. Chanzo cha ajali bado hakijajulikana.
Tayari viongozi wa serikali wamekwishafika eneo la tukio
 
Endelea kufwatilia blog hii kwa taarifa zaidi hapo baadae

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE