
Habari njema kwa wakazi wa Morogoro kuhusu tamasha la #serengetifiesta204
litakalofanyika siku ya jumapili uwanaja wa Jamhuri Stadium ni hii:
List ya wasanii watakaoiwakilisha Moro kwenye Stage imeongezeka baada ya
wasanii Koba Mc na @sameer Kinyulinyuli kuongezwa kwenye list hiyo: endele kusikiliza Cloudsfm Radio @planetfm pia endelea kutembelea www.ubalozini.blogspot.com kwa taarifa kadri zitavyobadilika.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment