MAMIA ya watu wamejitokeza leo kumsindikiza
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Freeman Mbowe, baada ya kuhitajiwa kufika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi
nchini, jijini Dar es Salaam kuhusiana
na kauli yake aliyotoa majuzi juu ya kuitisha maandamano nchi nzima
kupinga kuendelea kwa Bunge Maalum la Katiba.
Kilichofuata ni polisi kuamuru watu wote waondoke eneo hilo kwa umbali wa mita 200 ambapo walikimbizwa na mbwa wa polisi na kusababisha wengi wao waumie na kupoteza vitu vyao mbalimbali, hususani wanahabari ambao baadhi yao waliumia na kupoteza zana zao za kazi.

0 MAONI YAKO:
Post a Comment