Baada ya tuhuma zilizozagaa mjini siku za hivi karibuni kufuatia taarifa ya Swahiba wangu, ndugu na rafiki yangu Mtoto wa vitoto kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwana dada Lady Jay Dee Komando machozi, hatimaye Mtooto wa vitoto ameamua kutoa uvivi juu ya hilo na kusema hii alichokisema katika mazungumzo nami hivi juzi.

Mtoto wa vitoto
"Mi siwez kuzungumzia hili kaka mi co msemaji wa jide, Hadhi yangu na
dada jide tofauti,, Kwanza kuongelea hili ni kumshushia heshima binti
machozi, haimjengei pcha nzur mbele ya jamii na kaz yake,, Waliandika
kaachana na mumewe,,wakaja kuandika kakimbia nyumba yake anakaa hotelini
sahv wamenijumlisha na mimi,,,wanajirb kuendeleza habar za uongo kwa
kunihusisha mimi,,Nnachoweza kusema ni kwamba picha ni zangu na
nnaeonekana ni mimi ila habari ilioandikwa sio mimi,, Kwanza mimi siitwi
MEDDY AHMED naitwa AMADEUS GERALD pia mimi sio mzanzibar mi ni MCHAGA
PURE wa MARANGU na ROMBO.

Hii Picha nilipiga na Gadner G. Habash na
tulipiga siku hiyo hiyo wakati tunapiga zile picha nyingine ambazo
Zimetungiwa Uwongo,,,,
Na hizo picha zingine Alizipiga Gadner Nyumbani Lounge......Ukiangalia Mavazi haya Niliovaa kwny picha hii ndio Hayo hayo yametumika kutengeneza Uongo kwny hizo Picha zao Nyingine na ukiangalia vizuri utagundua hizo picha zote zilipigwa siku Moja na Vazi lilikuwa Moja na Eneo lilikua Moja la Nyumbani Lounge na tulikuwa wengi zaidi ya watu 6 nakumbuka na ilikua zamani Mwezi wa Pili!!!!!

0 MAONI YAKO:
Post a Comment