Mwasiti Almasi toka THT akitoa dawakwa wakazi wa Moro leo hii
Mjomba Mrisho Mpoto naye alipata nafasi ya kuwawezesha wakazi wa morogoro katika semina ya Fursa leo hii
Wakazi wa Morogoro wakifwatilia semina ya Fursa kwa umakini
Niki wa pili toka weusi alikuwa gumzo leo hii


Mbunifu wa mavazi na mwana mitindo maarufu nchini Diana Magesa akiwawezesha wakazi wa Morogoro
0 MAONI YAKO:
Post a Comment