
Atu ni msichana mwenye matatizo ya macho (anaona kidogo sana) lakini kipaji chake ni kikubwa sana kiasi cha kuwashinda washiriki wengine waliokuwa wakiwania taji hilo mkoani Iringa.

Pichani Atu yupo na mtangazaji wa kituo cha Clouds Tv. Nickson George A.K.A Rugha Kali ambae ndie alieendesha mchakato mzima mpaka kumpata mshindi huyo
0 MAONI YAKO:
Post a Comment