October 07, 2014

  Baada ya kutamba na nyimbo zake kadhaa, sasa mwanamuziki Lady Queen ameamua kuja na style hii ya muziki. Lady Queen ameachia wimbo wake huu mpya wenye mahadhi ya ki Afrika kabisa kwa lengo la kuteka soko la mziki huo kwa sasa

SIKILIZA HAPA

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE