Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiangalia fuvu la aliyekuwa Chifu wa
Wahehe, Mkwawa alipotembelea Makumbusho ya shujaa huyo aliyepambana na
wajerumani na kujiua kwa bunduki baada ya kuona yupo hatarini kukamatwa
na wajerumani.
Picha ya kuchora ya Chifu Mkwawa…
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiangalia fuvu la aliyekuwa Chifu wa
Wahehe, Mkwawa alipotembelea Makumbusho ya shujaa huyo aliyepambana na
wajerumani na kujiua kwa bunduki baada ya kuona yupo hatarini kukamatwa
na wajerumani.
Picha ya kuchora ya Chifu Mkwawa
Mrithi
wa Chifu Mkwawa, Abdul Adam Mkwawa akimkaribisha Kinana kutembelea
makumbusho ya Chifu Mkwawa katika Kijiji cha Kalenga, Iringa Vijijini
wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa
ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2010.
Kinana akivishwa kilemba
Kinana akiwa katika picha ya pamoja na wazee wa kimila baada ya kukabidhiwa mkuki.
Kinana akiwa amekaa na Chifu Abdul Mkwawa pamoja na wazee wa kimila wa kabila la Wahehe.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment