October 28, 2014

 
Msanii kutoka pande za Nigeria ambae alipata umaarufu mkubwa Afrika na Dunia kwa ujumla baada ya kuachia wimbo wake wa African Queen na kufanya vizuri kwenye chati za redio na tv kwa kipindi hicho.
Lakini huo haukuwa wimbo wa kwanza wa msanii huyo, mashabiki wa Muziki wa Nigeria wanautambua wimbo wa Nfana Ibaga alioufanya miaka kumi iliyopita na kufanya vizuri kwenye tasnia ya muziki wa Nigeria wimbo huo una bahati ya kudumu kwenye masikio ya mashabiki wa 2face.
Kufuatia hali hiyo sasa 2face ameachia Video remix ya wimbo huo kama sehemu ya kusherehekea Miaka kumi kwenye Muziki.
unaweza kuitazama hapa

        

Related Posts:

  • Bunge la ahirishwa, kisa Lipumba kukamatwa, UKAWA wakomali   Tukio hili limetokea leo hii Bungeni Dodoma baada ya wapinzani kutaka hoja binafsi ya kukamatwa kwa mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba katika maandamano jana   Mbatia alisimama na kutoa hoja ya dharura ijadil… Read More
  • Viboko washambulia wavuvi    Mtu mmoja amefariki dunia na wawili kujeruhiwa baada ya kuvamiwa na wanyama aina ya kiboko wilayani Butiama. WAKAZI wa kijiji cha Chimati wilayani Butiama mkoani Mara wamekubwa na hofu kubwa baada kuibuka… Read More
  • Hakuna wa kutembelea nyota yangu -Ray C    Mwanamuziki Ray C ambae alitamba miaka ya nyuma na ngoma kali kibao ikiwemo Na wewe milele,Sogea sogea na nyingine nyingi amefunguka na kusema kuwa kwa sasa hakuna mtu atakae weza kutembelea nyota yake katik… Read More
  • CUF- Waandamana leo. Prof Lipumba akamatwa na polisi  Leo January 27 2015 Chama cha wananchi Cuf- kimefanya maandamano ya kumbukumbu ya mauaji ya 2011 Visiwani Zanziba. Lakini katika maadhimisho hayo yameingia dosari baada ya viongozi wa ngazi za juu wa Cuf kukatwa na p… Read More
  • Juma Kaseja kusomewa mashtaka Februeary 12    Baada ya Uongozi wa Klabu ya Yanga kutangaza kuachana na aliekuwa mlindamlango wake Juma Kaseja na baadae kumfungulia mashtaka katika Mahakama ya kazi , hatimaye mlind amlango huyo sasa anatarajia kusomewa … Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE