Tunakupa nafasi ya kutembelea kurasa za mwanzo na za mwisho za magazeti ya leo hii Jumanne Oct 28 kama tulivyoweza kukusanya baadhi ya kurasa za magazeti hayo. Unaweza kusoma habari kwa undani zaidi utakapopitia meza za magazeti na kujipatia nakala yako.
BREAKING NEWS: Majambazi Waua Polisi 8 Kibiti
Habari zilizotufikia hivi punde, zimeeleza kuwa, askari polisi 8 wameuawa na majambazi huko Jaribu Kibiti Mkoani Pwani.
Habari hizo zinasema kuwa, askari hao wameuawa kwa kupigwa risasi na
majambazi hao …Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment