Imeripotiwa na Radio One Breaking News inasema >>> ‘ Mtu mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Ramadhan Abdallah Jumanne ambae amekua akiwaua kwa kuwapiga risasi Wanawake mbalimbali jijini Arusha, ameuwawa katika mapambano ya kurushiana risasi na Polisi’
Kaa karibu na AMPLIFAYA ya CloudsFM kuanzia saa moja usiku leo.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment