October 23, 2014

Sakata la umri la Miss Tanzania 2014 Sitti Mtevu limeendelea kuchukua sura mpya baada ya Baraza la Sanaa Taifa (Basata) kudai kuwa litamvua taji hilo endapo watagundua kasoro za umri zinazodaiwa
Akizungumza na gazeti la Nipashe, Katibu Mkuu wa Basata, Geoffrey Mwingereza , alisema wanasubiri uchunguzi wao ukamilike na wakibaidi udanganyifu watamvua taji hilo. 
Wakati Mwingereza akielezea taarifa hiyo, viongozi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wanatarajia kukutana leo jijini Dar es salaam kwajili ya kujadili sakata hilo. 
Akizungumza na gazeti hilo jana, Naibu Waziri wa Wizara ya Michezo, Juma Nkamia alisema serikali imelisikia sakata la mrembo huyo na wameamua kuitisha kikao ili kulifanyia kazi. 
"Siwezi kukuambia hatua gani zitachuliwa, ila kesho, (leo) tutakuwa na kikao , serekali haiwezi kukaa kimya , kuna vyombo vyake vinalifanyia kazi" alisema Nkamia. 
Aliongeza kuwa yeye alikuwa nje ya Dar es Salaam lakini kuna maelezo aliyoyatoa na yameanza kufanyiwa kaz

Related Posts:

  • Uchaguzi kurudiwa nchini Kenya Raila Odinga akiongea na waandishi wa habari mapema leo baada ya tamko la Mahakama  Mahakama ya Juu nchini Kenya imefutilia mbali matokeo ya uchaguzi wa Urais uliofanyika Agosti 8 mwaka huu, ambapo Uhuru Kenyatt… Read More
  • Official HD Video :Nisamehe Bure -Ochusheggy   Ukali, uwezo na ubora wa sauti yake, tunaweza sema vya kulithi siku zote huwa vinazidi. Ochu Sheddy mtoto wa mwanamuziki mkongwe nchini Eddy Sheggy, ametuletea wimbo wake mpya u naitwa Nisamehe Bure   &… Read More
  • Official Video: Dogo Janja - Ngarenaro   Kutoka Ngarenaro, mwanamuziki Dogo janja, ametuletea video ya wimbo wake mpya wa Ngarenaro. Dogo Janja ameuachia wimbo huo siku ya juzi na Video yake ameiachia dakika 27 zilizopita. Kuwa wa mwanzo kuitazama Video… Read More
  • Official Music Video: Korede Bello Ft. Lil Kesh - My People Kile kipenzi cha wakina dada barani Afrika kutokea nchini Nigeria Korede Bello, ameachia tena video yake nyingine inaitwa My People. Ana muda hajasikika masikioni mwako wala machono mwako kwa video mpya. Sasa Kored… Read More
  • B Dozen atia neno mvutano wa Diamond na Alikiba Mtangazaji wa kipindi cha XXL cha Clouds Fm,Hamis Burhani Mandi B Dozen amefunguka mambo machache kuhusu mvutano wa Diamond na Alikiba pamoja na team zao katika mitandao ya kijamii. Katika mahojiano na Times Fm kweny… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE