
Baada
ya Miss Tanzania Sitti Mtemvu kutupiwa maneno machafu na Watanzania kwa
madai ya kudanganya umri wake na shutuma nyingine kuwa ana mtoto na
hakustahili kuwepo na hata kushinda taji hilo na kutaka avuliwe taji,
Mshindi wa taji hilo kutoka Uganda Leah Kalanguka, yamkuta kama hayo
Waganda
wamcharukia kwa matusi kupitia mitandao ya kijamii ya facebook na
twitter, mrembo Leah Kalanguka aliechaguliwa kuchukua taji hilo
2014-2015 usiku wa jumamosi, mashindano yaliyofanyika Speke Resort
Munyonyo, kwa madai kuwa ni "mbaya" na hastahili taji hilo.
“Miss Uganda World is your theme Beauty with a purpose or Ugly with a purpose?” mmoja wa waganda aliuliza uongozi wa Miss Uganda World kupitia Facebook.
“Museveni
is always embarrassing Besigye, now he declared him Miss Uganda,”
amesema mganda mwingine anaejulikana kama Maseruka kupitia mtandao wa
Twitter.
Frankie
Sinatra ye amesema; “TF is this UPDF? Is Miss Uganda now chosen
ironically? Like who di ugliest of di bunch? Like who will scare Somali
soldiers? Miss Scarecrow”

“And so this Miss Uganda winner, I have been told super heroes are rarely attractive. I hope she can cure cancer.”
Sebintu Nyini bintu ameandika: United States is about to Invade Miss Uganda, she looks like Oil.
Leah, ambae
alikuwa ni mkulima wa uyoga na ufugaji kuku, alinyakuwa taji hilo la
Miss Uganda baada ya kufufua upya mashindano hayo ya urembo na kayafanya
kutumika ku-promote kilimo
Kalanguka,
23,amewashinda washiriki wengine 19 baada ya kuoneka mrembo na catwork
ya hatari akiwa na boot zilizkuwa spsored najeshi, ambapo washiriki
walishindana kukamua maziwa ya ngo'ombe na kutembea na mbuzi nakondoo.
unamuonaje mrembo huyu..maoni yako tafadhali
0 MAONI YAKO:
Post a Comment