Oct 25
2004 mwanamuziki nguli wa muziki wa kizazi kipya na mwana mapinduzi wa
mziki huu Inspector Haroun Babu alifunga pingu za maisha. Ni miaka 10
sasa ya ndoa yake. Th 25 alifanya party ya shukrani kwa kudumu kw amuda
wote ndani ya ndoa.

"Hey watu wangu nawashukuru sana walioungana nami na familia yangu na
kunisapoti siku ya jana shukrani za dhati ziwafikie wote waliofanikisha
shughuli yangu kwa namna moja au nyingine shukrani kw wasanii wenzangu
lwp,mabagafresh,domokaya,young tuso,luten karama,Pnc,suma g,miss bella
nawengine pia nawashukuru sana
ahsanteni sana mwisho kwenu nyinyi wadau mashabiki coz nyinyi ndo
mabosi wangu na ndo mnanipa moyo kilakukicha nakunifanya niendelee
kuwepo kwa game ahsanteni pia namshukuru allah jah yehova kwani yeye ndo
kilakitu na ndie anajalia punzi zetu sote, marafiki wote wa page yangu
hapa fb ahsanteni kwa sapoti yenu nashukuru kufanikisha na kumaliza
salama show ya jana"

Inspecto amekuwa mfano wa kuigwa si kwa wanamuziki wenzake bali ni kwa vijana wote wa sasa .

Uongozi wa ubalozini.blogspot.com tunaitakia mema familia hii izidi kuwa na kheri hasa katika maisha haya ya ndoa.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment