Producer Vennt
Producer mahili na anayefanya vizuri sana kwa sasa mkoani Morogoro, toka Kwanza Records, Vennt Skilz, amewataka baadhi ya wasanii kuacha tabia ya kudhalau pale walipoanzia pindi wanapokuwa sehemu nyingine.
Akizungumza na blog hii katika Studio za Kwanza Records, Vennt amesema wasanii wengi wanafeli kutokana na hii tabia.
Producer Vennt Skillz akiwa na mshindi wa Supa Diva Morogoro
"Unajua nini bro, kukubwa kinachowafanya wasanii wengi wafeli ni kubweteka hasa wanapoona wamefikia sehemu fulani na kusahau walipotoka"
Unakuta msanii kipindi anaanza mziki anakuheshimu sana lakini akifikia sehemu anaaza dhalau hasa kwa producer aliyemtoa, wanasaahau kwamza producers wana kazi ngumu sana kuliko wasanii
Vennt amewataka wasanii kuachana na tabia hiyo ili wafikie malengo yao hasa ukizingatia kipindi chenyewe hiki ni cha ushindani mkubwa sana wa kimuziki
0 MAONI YAKO:
Post a Comment