Ikiwa imebakia wiki moja tu, kufikia kilele cha Serengeti Fiesta 2014 ITAKAYOFANYIKA Oct 18 jumamosi Leader Club. Huku watu wengi wakiwa na kiraruraru cha kumuona mtumzima T.I akiwa jukwaani kutoa zile sumu zake kw aWabongo, hapa tunakupa nafasi ya kuangalia baadhi ya show zake alizowahi kufanya
ZITAZAME HAPA CHINI
Tukutane Leaders Club oct 18 kwa burudani zaidi toka kwa T.I
0 MAONI YAKO:
Post a Comment