Kama wewe swahiba wangu hukupata nafasi ya kuiskia hii ngoma ya P- Square wakimshirikisha T.I, bas hapa tunakupa nafasi ya pekee ya kuiskiliza na kuipakua pia. Lengo ni kukufanya wakisasa zaidi
Muuaji wa watu tisa kanisani akamatwa
Muuaji
Mshukiwa wa mauaji ya watu tisa katika kanisa moja la kihistoria mjini Carolina Kusini amekamatwa.Kulingana
na mwanasheria mkuu Lorr…Read More
Neymar apewa kadi nyekundu baada ya mechi
Nyota wa timu ya Brazil Neymar
alionyeshwa kadi nyekundu baada ya kipenga cha mwisho cha mechi ya
kinyang'anyiro cha Copa America baada ya timu yake kufungwa na Colombia
kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1991.
Msh…Read More
Wema Sepetu: wazazi wangu wamefanya niwe mwanasiasa
Staa wa filamu za Kibongo,Wema Sepetu
ambaye sasa hivi ameingia kwenyeulingo wa siasa na kutangaza nia ya
kugombea ubunge viti maalum kupitia chama cha Mapinduzi(CCM) mkoa wa
Singida amesema kuwa wazazi wake ndiyo wal…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment