Milango ya Uwanja wa ndege wataifa wa Mwalimu Julius Nyerere ilifunguka kumkaribisha Waje bongo |
Hakika alionekana na furaha Kutua tanzania |
Waoooo |
Waje akiojiwa na mtangazaji wa clouds media baada ya kuwasili |
Asikwambie mtuu Serengeti Fiesta Dar es saalam 2014 |
Habari za matukio yote ya kiburudani hasa kipindi hiki cha fiesta utazipata humu http://www.djfettytz.com/ endelea kutembelea.
Picha;Eli ulomi/Djfettytz.com
0 MAONI YAKO:
Post a Comment