October 16, 2014

Kutoka U S A mpaka bongo


Moja wa wakilishi wa cloudsmedia akiwapokea


  Huyu ndie Jason Geter meneja wa T I






Jason Geter mbele ya camera ya clouds media group kwajili ya interview









Nifuraha kubwa kwa wapenda burudani wote nchini na n'je ya nchi kwa ujio wa manager wa msanii mkubwa wakimataifa T I kuwasili katika aridhi ya Tanzania kupitia uwanja wa ndege wa Taifa wa Mwalimu Julius Nyerere,furahiyo n ikwasababu huu ni uthibitisho wa msanii huyo wa kimataifa kuja kwajili ya Serengeti Fiesta 2014 Dar es salaam jumamosi hii 18 oct 2014 pale pale ledears club.                                                        
Picha:Eli Ulomi/Djfettytz.com

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE