October 13, 2014

  
Rapper Ney wa Mitego baada ya kufanya vizuri kwenye Tour ya Serengeti Fiesta itakayo kamilika siku ya Jumamosi hii kwenye viwanja vya Leaders club, Amefunguka kuwa kwa sasa anakuja na mradi mkubwa uliowalenga zaidi wanafunzi wa chekechea,shule za Msingi,sekondari na vyuo vikuu, mradi huo ni  wa Mdaftari aliyoyapa jina lake mwenyewe Mr.Ney, madaftari hayo yataanza kupatikana rasmi mwishoni mwa mwezi december , Ney aliongeza kuwa mbali na kufanya music yeye ni mfanya Biashara na ameamua kujiwekeza kwenye mradi huo wa Mdaftari . Alisisitiza kuwa hadi sasa tayari ameshapata Tenda ya kusambaza  hayo madaftari mkoa wa Msoma.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE