November 12, 2014

 Hii ni kwa wale wapenzi na mashabiki wa mziki wa Dansi. Hii ni FM Academia wanakuletea albam yao mpya kabisa iitwayo CHUKI YA NINIi? Hizi ndizo nyimbo mbili za kwanza kwenye album hii ya wakali wa muziki wa dansi wazee wa Ngwasuma!

DOWNLOAD HAPA CHUKI YA NINI?


DOWNLOAD HAPA FATAKI

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE