Stori: Waandishi Wetu
Mwanamuziki Hot Sexy hapa Bongo, Meninah Atick ameifungukia ishu ya kuchoropoa mimba ya msanii Nasibu Abdul ‘Diamond’ na kusema hajawahi kubeba mimba ya staa huyo na wala katika maisha yake hajawahi kufanya kitendo hicho.

Mwanamuziki Hot Sexy hapa Bongo, Meninah Atick.
“Jamani mimi ni mdogo, kwanza kwa nini watu
wanapenda kunibebesha vitu vikubwa, mimi sijawahi kubeba wala
kuchoropoa mimba katika maisha yangu,” alisema msichana huyo.
Meninah Atick akipozi.
Meninah alienda mbele zaidi na kusema maneno hayo yanaweza
kuwapandisha hasira wapenzi wa Diamond na kumjengea nao chuki, wakati
ukweli ni kwamba hajawahi kutoka na msanii huyo mwenye historia ya
kutoka na wasichana wengi.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment