November 12, 2014

 

K O. Mtangazaji wa kipindi cha The Booster 

Wasanii mkoani Morogoro wamepata fursa pya ya kuhakikisha kazi zao zinapata muda wa kuchezwa radioni. Akizungumza na Ubalozini.blogspot.com Mtangazaji wa kipindi icho na Mbunfu Kareem Omar K O amesema baada ya kilio cha muda mrefu sasa kilio hiko wamekisikiliza.

The booster show ni kipindi cha mziki wa bongo fleva the booster ni kipindi cha wasanii wa morogoro pia haijalishi msanii amemshirikisha msanii yupi kutoka wapi ili mradi anawakilisha morogoro.
The booster kila siku ya ijumaa kuanzia saa 5 asubuhi hadi saa 7 mchana hapa hapa 89.9 ABOOD FM 
 
Kenny Kennie Mmoja ya wasanii wanaofanya poa sana katika game

Lakini pia K O Amewahasa wasani hao kuhakikisha kwamba kazi wanazofanya zinakuwa na ubora unaokidhi na unaokwenda sambamba na soko husika.
 NA K O AU KAREEM OMAR

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE