UKWELI KUHUSU DIVA KUTIMULIWA CLOUDS FM HUU HAPA
Hivi karibuni zilisambaa taarifa kuwa Diva loveness Love ametemwa kwenye kituo list ya watangazaji wa kituo cha clouds fm, hiyo ni baada ya mwanadada huyo kutoskika hewani kwa zaidi ya mwezi mmoja na nusu, sasa D…Read More
STEPS WASHUSHA BEI ZA FILAMU ZA KIBONGO
Kampuni
ya usambazaji wa filamu nchini "Steps Entertainment" wameshusha bei ya
filamu hadi kufikia shilingi 1,500 kwa nakala moja ili kujaribu
kupambana na waharamia wa kazi za wasanii,baadhi ya wasanii
wa…Read More
PICHA/ TAMASHA LA TUONANE JANUARY MOROGORO LILIVYOFANA
Mwana muziki Linah akitumbuiza jukwaani leo hii
Tamasha la Tuonane January limefanyika mkoani Morogoro huku likihudhuliwa na umati mkubwa wa wakazi wa mkoa wa Morogoro.
Katika Tamasha hilo wasanii …Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment