November 13, 2014


 
Hivi karibuni msanii wa Bongo Flava, Amini aliagwa rasmi na nyumba ya kukuza vipaji ya T.H.T ambako alikuwepo kwa zaidi ya miaka 10, kuanzia kufundishwa muziki hadi akaanza kutengeza pesa kupitia ngoma na album 

alizowahi kuachia.
Amini aliagwa T.H.T baada ya kupata mkataba wa kibiashara na kampuni ya BME,Clouds Fm imepiga stori na mkurugenzi wa kampuni hiyo amefunguka malengo ya BME kwa Amini na na kwamba kampuni hiyo imewekeza zaidi ya mill.40 kwenye muziki wa msanii huyo.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE