November 13, 2014

Daktari anayehusishwa na tukio la vifo vya watu 13 katika kituo kilichokua kikitoa huduma ya kuzuia uzazi kwa njia ya upasuaji jimboni Chattisgarh nchini India,amekamatwa.
Daktari huyo  RK Gupta na msaidizi wake waliwafanyia upasuaji wanawake 83 katika kijiji cha Pendari.
Taarifa zinaeleza kuwa   Daktari huyo aliwafanyia upasuaji wanawake 83 kwa saa tano, Serikali inasema Daktari mmoja anapaswa kutoa huduma ya upasuaji kwa Watu 35 kwa siku.
Wanawake wengine wawili walipoteza maisha baada ya kufanyiwa uapsuaji huo na  Zaidi ya wanawake 90 wako hospitalini wengi wao wakiwa katika hali mbaya, baada ya upasuaji huo.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE