
Kupitia Acc yake ya facebook Ray C ameatangaza kutambulisha single yake mpya "mshum mshum" muda wowote kuanzia sasa
Napenda kuwajulisha masabiki kuwa kuania sasa muda wowote, saa yoyote, dakika yoyote wakati wowote, siku yoyote kuanzia sassingle yangu mpya mshum mshum/ walimwengu itaanza kuskika kwenye simu zenu na kwa wale wapenzi wa mitandao kama mimi ya facebook, twitter, instagram,google, youtube, blogsna website mbali mbali mtaweza...... kwa mashabiki zangu wa ndai na nje ya nchi mlichokuwa mkisubiri tayari kimeshamalizwa!!!! kazi kwenu.........stay tuned for more info......love you guys.........mmmmwaaaaaaa!! miss my beautiful voice too......I just can't wait to sing livefor you guys1
0 MAONI YAKO:
Post a Comment