Waziri
wa Nishati na Madini wa Tanzania , Profesa, Sospeter Muhongo (kushoto)
na Waziri wa Nishati na Madini wa nchi ya Burundi, Mhe. Come Manirakiza
wakitia saini mkataba wa miaka 50 wa usafirishaji wa umeme kutoka Mradi
wa Rusumo kwenda nchini humo katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam
jana. Mradi huo unazihusisha nchi tatu za Tanzania, Rwanda na Burundi.
Waziri
wa Nishati na Madini, Profesa, Sospeter Muhongo (kushoto),
akibadilishana hati na Waziri wa Nishati na Madini wa nchi ya Burundi,
Mhe Come Manirakiza, baada ya kutiliana saini mkataba wa miaka 50 wa
usafirishaji wa umeme kutoka Mradi wa Rusumo kwenda nchini humo katika
hafla iliyofanyika Dar es Salaam jana. Mradi huo unazihusisha nchi tatu
za Tanzania, Rwanda na Burundi.
Balozi wa Burundi nchini Tanzania Mhe Issa Mtambuka (wa pili kushoto mbele) akiwa na maofisa wengine kwenye sherehe hiyo.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment