Diwani
wa Kata ya Vijibweni, Suleiman Mathew (wa tatu kushoto), akimkabidhi
ufunguo wa moja kati ya pikipiki mbili, Katibu wa Chama Cha Mapinduzi
(CCM), wa Kata hiyo, Salum Kabenza Dar es Salaam leo, alizozitoa kwa
ajili ya kusaidia uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata
hiyo ambao unatarajiwa kufanyika Disemba 14, 2014.
Wanachama
wa CCM wa Kata ya Vijibweni wakiwa kwenye hafla hiyo ya makabidhiano
ambayo ilikwenda sanjari na kuhamasishana kuhusu uchaguzi huo ambapo
walisema ushindi ni lazima.
Diwani wa Kata ya Vijibweni, Suleiman Mathew (wa tatu kushoto), akihutubia katika mkutano huo.
Diwani
Mathew akimkabidhi sh. 50,000 Katibu wa CCM, Tawi la Mkwajuni, Shaban
Dololo kwa ajili ya kusaidia huduma mbalimbali katika ofisi yake.
Diwani
Mathew akimkabidhi sh. 50,000 Katibu wa CCM, Tawi la Upendo, Beatrice
Bwana kwa ajili ya kusaidia kununulia vifaa vya ofisi kama karatasi na
huduma nyingine za ofisini kwake.
Wanachama wa CCM wa Kata hiyo wakifuatilia matukio yaliyokuwa yakiendelea kwenye mkutano huo.
(Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment