December 03, 2014

PLUIJM AKIWA NA MKEWE PAMOJA NA BINTI YAKE


Kocha wa zamani wa Yanga, Hans van der Pluijm, hatimaye amepaa nchini Uholanzi.
Pluijm amesema amekwenda kuijulia hali familia yake pamoja na kuangalia mechi kadhaa.
Pluijm ambaye anaishi nchini Ghana aliondoka jijini Accra baada ya kusindikizwa na familia yake.
PLUIJM AKIWA NA MKEWE NA MTOTO WAKE WA KIUME.
“Kila kitu kinakwenda vizuri na sasa niko Uholanzi ambako nimeishaangalia mechi moja ya ligi,” alisema.
Pluijm aliifundisha Yanga kwa nusu msimu na kuifanya iwe tishio kutokana na kucheza soka la haraka na nguvu.
Lakini aliamua kuondoka na kwenda kujiunga na Al Shaola ya Saudi Arabia ambayo hata hivyo hakudumu nayo.
 
Kwa hisani ya Salehejembe.blogspot.com

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE