December 04, 2014

madonna
Madonna ametajwa kuwa msanii tajiri zaidi duniani yaani ‘The Richest Recording Artist In The World’ akiwa juu ya majina makubwa kama Paul McCartney na Dr. Dre. Orodha hii imetolewa na  Wealth-X ikimtaja Madonna kuwa nathamani ya dola milioni $800.
 

 Madonna amekuwa namba moja kwenye orodha hii kwa miaka kumi mfululizo kwa kuuza kopi milioni 300 dunia nzima, dili kubwa za matangazo, utengenezwaji wa filamu, mitindo na vitabu vya watoto.
Hii ndio orodha kamili

1) Madonna $800 million
2) Paul McCartney $660 million
3) Dr. Dre $650 million
4) Diddy $640 million
5) Celine Dion $630 million
6) Bono $590 million
7) Mariah Carey $520 million
8) Jay Z $510 million
9) Elton John $450 million
10) Beyonce $440 million

Hawa ndio wanafanya uchunguzi huu mara kwa mara
Wealth x

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE