
Wikend iliyopita tasnia ya burudani nchini ilipata pigo kwa kuondokewa na wadau watatu wa tasnia hiyo kwa ajali mbili tofauti. Ajali iliyosababisha kifo cha Chidy Nyau akitokea Dodoma kuelekea Morogoro ambapo gari yake ilipata ajali na hatimaye Chidy Nyau kupoteza Maisha
Gari aliyopata ajali Chidy Nyau

Ajali iliyosababisha kifo cha kina Matei na Joshua ambayo Boss Ngasa amebahatika kupona
KAULI YA BOSS NGASA:
Hivi ndivyo mwenyezi mungu alivyoniepusha na ajali mbaya sana
iliyosababisha wenzangu wawili kupotesha maisha... kupona kwangu siyo
kwa sababu mimi ni mwema sana ..bali ni mipango ya mungu...Hakika
namshukuru sana mwenyezi mungu sana kwa kuniepusha na kifo.. Daima
tutawakumbuka ndugu zetu waliopoteza maisha. R.I.P Matei Mmasi,Joshua
Uguda,Chidy Nyau. sisi tuliwapenda lakini mwenyezi mungu kawapenda
zaidi. Mungu awalaze mahali pema peponi Amina

Miili ya marehemu ikiagwa

0 MAONI YAKO:
Post a Comment