Mashindano ya Big Brother Africa yavunjwa
Kama ulikuwa unasubiria kuona mashindano ya Big Brother Africa basi pole sana sababu kwa mwaka huu hayatakuwepo.
Mashindano ya Big Brother yametokea kuwavutia watu wengi kutokana na
kukutanisha washiriki wanaotoka matai…Read More
Manchester United kumteua Jose Mourinho kuwa kocha wake mpya
Manchester United wanatarajia kumtangaza Jose Mourinho kuwa kocha wake mpya, BBC Sport imeripoti.
Inaaminika kuwa deal hiyo na raia huyo wa Ureno mwenye umri wa miaka
53 ilikubaliwa kabla ya ushindi wa United kw…Read More
Habari katika magazeti leo hii jumatatu 23 Mei
Habari za Jumatatu ya leo ya 23 Mei 2016. Karibu katika kurasa za magazeti ya leo hii tulizokukusanyia katika magazeti mbalimbali ya hapa nchini. Habari kubwa zilizobeba uzito na kuwekwa katika kurasa za mwanzo na za mwis…Read More
Meneja wa Trey Songz azungumza haya kuhusu Diamond Platnumz
CEO wa kampuni ya KWL Management inayowasimamia wasanii wakubwa wa Marekani wakiwemo Trey Songz na Big Sean, Kevin Liles, amefunguka kwenye Twitter kuhusiana na ukaribu alionao na Diamond.
Kupitia session yake ya #…Read More
Nyota Ndogo afunga ndoa na mchumba wake
Muimbaji wa Kenya, Mwanaisha Abdalla maarufu kama Nyota Ndogo amefunga ndoa weekend hii.
Muimbaji huyo wa ‘Watu na Viatu’ sasa ni mke halali wa mchumba wake Henning Nielse…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment