Diamond baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar.
Mashabiki waliofika uwanja wa ndege kumpokea Diamond.
Diamond akipokelewa na mashabiki kwa shangwe.
MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametua nchini
muda huu akitokea Afrika Kusini alipokwenda kushiriki zoezi la utoaji
tuzo za Channel O ambapo alijinyakulia tuzo tatu kwa mpigo. Tuzo
alizonyakua staa huyo ni pamoja na Most Gifted New Comer, Most Gifted
Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment